Joseph Leonard Haule (amezaliwa tarehe 29 Desemba 1975) ni Mtanzania msanii wa muziki wa hip hop na vilevile mwanasiasa wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mikumi kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Je,mwanamziki Profesa Jay ni mbunge wa wapi nchini Tanzania?
Ground Truth Answers: MikumiMikumiMikumi
Prediction: